Baada ya CEO wa Golden Boy Promotions, Richard Shaefer, kuachia ngazi kambi ya Mayweather Promotions kupitia CEO wao Leonard Ellerbe wamesema hawatafanya tena kazi na Golden Boy Promotions.
![]() |
CEO wa Mayweather Promotions (kushoto) na CEO wa zamani wa Golden Boy Promotions |
Oscar De La Hoya ambaye alianzisha Golden Boy alikuwa hapatani na CEO wake kwa muda mrefu sasa.
Floyd Mayweather amefanya kazi na Golden Boy kwenye mapambano yake 9 yaliyopita.
Bado Golden Boy wana mabondi wengi wzuri kama Amir Khan, Marcos Maidana, Adrien Broner, Saul "Canelo" Alvarez na wengine wengi....Bofya hapa upate habari zaidi....
No comments:
Post a Comment