Monday 9 June 2014

FRENCH OPEN: NADAL BINGWA


Rafa Nadal (namba 1 duniani) amenyakua tena French Open huko Rolan Garos...Rafa alimchapa Djokovic (namba 2 duniani) katika mechi ambayo alianza akiwa anakimbizwa seti ya kwanza...Seti ya 2 Djokovic alianza kumwachia Rafa points za bure...Baada ya hapo Seti zinazofuata Raafa aliweza kumshinda mwenzake kwani Djokovic alikuwa anakosa serve zake za kwanza na pia alikuwa anakosea sana...Rafa alishinda kwa seti 3-6 7-5 6-2 6-4...Sasa Rafa ameshinda Grand Slam 14 na yuko chini ya Roger Federer kwa Grand Slam 3...Hii ni mara ya 9 anashinda hapo Ufaransa...Bofya upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment