Friday 6 June 2014

NBA: SPURS WACHUKUA GAME YA KWANZA YA FAINALI ZA NBA


Spurs jana waliweza kuchukua game ya kwanza ya fainali za NBA huko San Antonio...Spurs na Heat wanakutana tena kwenye fainali toka mwaka jana...Mwka jana walipambana sana mpaka game 7 na wachezaji wale wa mwaka jana ndio hao wa mwaka huu...


Game ilikuwa kali lakini kulitokea tatizo  la umeme ambalo lilifanya wachezaji wacheze kweye joto sana kwani AC zote hazikufanya kazi hapo AT&T center...LeBron James alitoka kukaa mara mbili kutokana na hali hiyo...San Antonio walishinda 110-95...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment