Monday 9 June 2014

TANZANIA FOOTBALL FEDERATION: GABRIEL 'GEBO' PETER KUZIKWA MOROGORO


Gebo Peter mchezaji mahiri wa miaka ya nyuma atazikwa kwao Kugurunyembe Morogoro...Gebo alifariki Muhumbili Alhamisi iliyopita...Habari hizi zilitolewa na msemaji wa TFF bwana Wambura na wamesikitishwa na taarifa za kifo hiki...Gebo alianza kuichezea Sigara SC miaka ya 90 mwanzoni...Gebo ametokea kwenye familia ya wanamichezo kwa mfano, Peter Tino, mchezaji wa timu ya taifa miaka ya 80 ambae alisaidia timu ya taifa kufuzu michuano ya African Cup of Nations (AFCON) 1980 ni kaka yake Gebo...Peter Tino ni kati ya wachezaji maafuru sana Tanzania na mchango wake katika soka hautosahaulika kamwe...Abubakar Kombo mchezaji aliyecheza na Gebo Sigara SC amesikitika sana na amesema ni pigo kwa soka ya Tanzania...Pumzika kwa Amani Gebo Peter...

No comments:

Post a Comment