Monday 9 June 2014

NBA: LeBRON NA TIMU YAKE WASAWAZISHA MAMBO



Miami Heat wameweza kusawazisha series 1-1 baada ya kushinda game 2 huko San Antonio Marekani...Wakati huu timu zote zilikuwa zinacheza vizuri na LeBron aliibuka na point 35 na rebound 10...Bosh aliwaokoa Miami wakati zimebaki sekunde 1:18 aliporuka pembeni ya court na kutumbukiza mpira...Strategy ya Spurs mwishoni iliwakosesha nafasi ya kushinda kwani walitakiwa wacheze foul lakini hawakufanya hivyo na Bosh akapataa nafasi ya kutoa pasi na Spurs wakafungwa 98-96...Bofya hapa upate mambo zaidi...

No comments:

Post a Comment