Sunday 1 June 2014

AFCON: TANZANIA YASONGA MBELE



Tanzania imesonga mbele kwenye michuno ya awali yakufuzu kwenda African Cup of Nations 2015 baada ya tutoka sare 2-2 na Zimbabwe huko Harare leo joni...Tanzania wamepita kwa tofauti ya magoli 3-2...Habari njema kwa watanzania wengi....

No comments:

Post a Comment