Wednesday 11 June 2014

FIFA: SEPP BLATTER AAMBIWA AONDOKE MWAKANI



Boss wa FIFA ameambiwa atimke mwakani kwasababu matizo mengi sana FIFA ameyasababisha yeye...Hii ilisemwa na wadau wengi wa FIFA akiwemo Michael Van Praag ambaye ni raisi wa Shirikisho la Soka la Udachi ambaye alisema FIFA sasa hivi haichukuliwi kama Shirikisho makini na vyovyote unavyo angalia Sepp Blatter ndio sababu...Pia bosi wa Shirikisho la Mpira la Uingereza Greg Dyke ameshangazwa sana na jinsi Sepp alivyochukulia tuhueji ma za rushwa zinazohusu Qatar kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa World Cup...Bofya hapa upate habari zaidi...


No comments:

Post a Comment