Sunday 1 June 2014

FRENCH OPEN: FEDERER NJE


Roger Federer ametupwa nje ya michuano mikali sana ya French Open...Mwaka huu tumeona mastaa wengi wakitolewa na madogo...Federer amechapwa na Ernests Gulbis....Huyu dogo ana mbwembwe sana na mara nyingine ana bamiza racquet yake chini...Gulbis mwenye miaka 25 ni namba 18 duniani...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment