Tuesday 3 June 2014

EPL: LAMPARD AONDOKA CHELSEA


Frank Lampard ametangaa anaondoka Chelsea baada ya kukaa na club hiyo miaka 13...Lampard mwenye umri wa miaka 35 ndio mfungaji bora na anamagoli 211...Kwa sasa Lampard yuko Miami na squad ya England wakujitayarisha na World Cup...Amesema hato ongea kuhusu issue zake za mpira mpaka atakapotoka Brazil...Lampard alinunuliwa kwa pounds za Uingereza milioni 11 na amekuwa mtu wa 3 katika historia ya Chelsea katika idadi za game alizojitokeza kucheza...Lampard amecheza mechi 648 amepitwa na Ron Harris 795 na Peter Bonetti 729...Chelsea watamkumbuka sana Lampard na amesema Chelsea ilikuwa kama kipande cha maisha yake...Bofya hapa usome zaidi...

No comments:

Post a Comment