Tuesday 17 June 2014

WORLD CUP 2014: DRAW YA KWANZA BILA KUFUNGANA KWENYE WORLD CUP NI KATI YA NIGERIA NA IRAN


Katika game mbovu toka michuano hii ianze ni hii ya Nigeria na Iran...


Game ilikuwa mbaya sana utafikiri hawajui wanataka nini timu zote hizi mbili.

Nigeria ilitakiwa ishinde lakini ilikuwa inashangaa na kupoteza mipira ovyo.

Ilishambulia lakini inashindwa kumalizia..pia Iran walijaribu baada ya half-time lakini mara wapige juu mara wachemshe.

Nigeria inabahati hata kupata hiyo draw.

Nigeria sasa inabidi wamshinde Boznia kwa sababu hawatapita kwa Argentina kama wataendelea kuwa kituko...

No comments:

Post a Comment