Friday 6 June 2014

VPL: MBEYA CITY YAPATA MDHAMINI




Mbeya City timu ambayo imepta umaarufu mkubwa sana kutokana na uimara na umakini katika soka sasa imepata mdhamini rasmi...BINSLUM kampuni ya matairi na uwauzaji wakubwa wa battery za magari a RB ndio mdamini rasmi wa timu ya Mbeya City...Mbeya City ambayo iko chini ya Halmashauri ya Mkoa wa Mbeya imefurahi na kushukuru sana kupata mdhamini rasmi na hayo alisema Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri Dr. Samwel Lazaro mbele ya Mkurugenzi wa BINSLUM Mohamed Binslum wakati walipokutana na waandishi wa habari huko Mbeya...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment