Friday 6 June 2014

TEXAS A&M: PATA PICHA ZA DOGO SALIM JUMA "BRING THE MONEY HOME" ZONGO MTANZANIA ANAYETESA MAREKANI

Hapa akimlisha uncle wake Rashid Mchujuko keki mwaka 2001
Dogo akipiga pozi na uncle Rashid Mchujuko


Mambo ya QB...Akimruka mtu mbioni kufunga bao

Dogo Zongo a.k.a Bring the money home ameshinda mara kibao...Kabati limejaa balaa...

Yuko na timu yake hapa...

Akiwa na mshkaji wake baada ya gaame za Oil Bowl...

Hapa anajaribu kumtoka mpinzani...


Hapa yuko na uncle Rashid Mchujuko ambae alimlea dogo Marekani...
Rashid na Zongo alipotembele Tanzania mwaka jana...




Timu ya Zongo inaitwa Panther...Wanamtegemea sana Zongo kama QB (Quarterback)   



Picha zimetolewa kwa hisani ya Rashid Mchujuko...

No comments:

Post a Comment