Sunday 1 June 2014

MOTO GP ITALY: MARQUEZ ASHINDA KWA MARA YA SITA


Marc Marquez ameshinda Italian GP na ni ushindi wa 6 mfululizo...
Marquez amepambana sana na Jorge Lorenzo kwenye Italian GP na walipokezana kuongoza mpaka Marques akamiku mwenzake kwa sekunde 0.121.

Sasa Marquez anaongoza msimamo wa Moto GP na kampita Valentino Rossi kwa pointi 53...Bofya hapa upate habari zaidi...

Matokeo

1. Marc Marquez (Spain) Honda 41:38.54
2. Jorge Lorenzo (Spain) Yamaha 41:38.375
3. Valentino Rossi (Italy) Yamaha 41:40.942,
4. Dani Pedrosa (Spain) Honda 41:52.300
5. Pol Espargaro (Spain) Yamaha 41:53.857
6. Andrea Dovizioso (Italy) Ducati 41:55.296
7. Andrea Iannone (Italy) Ducati 41:55.383
8. Alvaro Bautista (Spain) Honda 42:05.661
9. Aleix Espargaro (Spain) Yamaha 42:20.140
10. Yonny Hernandez (Colombia) Ducati 42:23.466

No comments:

Post a Comment