Friday 13 June 2014

WORLD CUP 2014: WADAU KUTOKA TANZANIA WATUWAKILISHA VYEMA

 
Anthony Mark (kushoto) akiwa na
mdau mwenzake wakiwakilisha Tanzania

World Cup 2014 watu wengi wamepata nafasi ya kwenda na kuhudhuria michuano hiyo mikubwa sana duniani.

Kati ya watu waliotuwakilisha vyema huko Brazil ni mwanasheria maarufu hapa mjini Anthony Mark.

Anthony ni mdau mkubwa sana wa Max Sports na timu ya Arsenal ya kaskazini mwa London.

Asante kwa kutuwakilisha mdau.

No comments:

Post a Comment