Saturday 7 June 2014

FRENCH OPEN: MARIA SHARAPOVA BINGWA


Maria Sharapva ameshinda mashinda michuano ya tennis ya French Open upadne wa wanawake kwa kumfunga Simona Halep...Mechi ilikuwa kali sana na lakini Sharapova ambae anatoka Urusi aliweza kukomaa na kushinda...Maria alimfunga Simona 6-4 6-7 (5-7) 6-4...Sharapova sasa meshinda vikombe vikubwa (Grand Slam) vitano na amekuwa wa 11 duniani kushinda vikombe vikubwa na yuko sawa na Martina Hingis...Sharpova amekiri mechi hii ni mechi ngumu amewhi kucheza ya Grand Slam...

No comments:

Post a Comment