Tuesday 1 July 2014

WORLD CUP 2014: TIMU ZA AFRICA ZAAGA MICHUANO




Timu zote kutoka Africa sasa zimerudishwa nyumbani kutokana na kutoshinda mechi zao...Nigeria ilicheza vizuri lakini mambo yalibadilika kipindi cha pili na kufungwa na France 2-0...Hivyo ndio ilivyo kuwa katika game ya Algeria na Germany 2-1...Timu za France na Germany zilikuwa hafifu sana na wangeweza kufungwa...



Algeria walijitahidi sana na kuwakabili wajerumani lakini mwishoni mambo yalibadilika...Katika mechi zote hizi mbili makipa walikuwa vinara kwani waliangua mashuti mengi na kuokoa magoli...Basi tusubiri miaka 4 tena labda angalau tuakuwa kumejipanga zaidi...Hongera timu zote za Africa kwa kuonyesha soka la hali ya juu sana na kwa kufika round ya 16...

No comments:

Post a Comment