Saturday 12 July 2014

NBA: LeBRON JAMES AAMUA KURUDI NYUMBANI


LeBron James ameamua kurudi Cleveland Cavaliers baada ya kuamua kuwa free agent...LeBron ambae alikuwa MVP mara 4 atarudi nyumbani Cleveland kwa mkataba wa miaka 4 na dollar za kimarekani milioni 88...Rais wa Miami Pat Riley alipanda ndege na kwenda Las Vegas kuongea na LeBron ili kumshawishi  abaki Miami lakini LeBron anasema moyo wake uko nyumbani Cleveland...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment