Tuesday 29 July 2014

FRENCH LEAGUE 1: AYEW AENDA LORIENT


Jordan Ayew Ghanaian International ametia saini mkataba na timu ya League 1 ya Lorient...

Ayew natoka Olympique Marseille ambao ni wapinzani wa FC Lorient.

Ayew ambae ana miaka 22 alipata ofa nyingi nje ya Ufaransa lakini aliamua kusaini na Lorient kwa muda wa miaka 4.

Jordan Ayew ni mtoto wa staa maarufu sana wa mpira kutoka Ghana Abedi Pele na pia aliichezea nchi yake ya Ghana kwenye michuano ilioisha hivi karibuni huko Brazil.

Ayew alikaa na Marseille miaka 8 na sasa ameamua kutafuta challenge mpya...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment