Thursday 3 July 2014

EPL: CHELSEA YAWAACHIA ETO'O NA ASHLEY COLE



Chelsea imewaachia huru Samuel Etoo na Ashley Cole baada ya mikataba yao kuisha...Eto'o alikuwa na mkataba wa mwaka toka alivyotoka timu ya Urusi ya Anzhi Makhachkala na Ashely Cole alikaa Chelsea miaka 8...


Club haijaongea mikataba yao na inawashukuru kwa kuchezea Chelsea na inawatakia mema...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment