Tuesday 8 July 2014

NBA: LA LAKERS WANAMTAKA CARMELO ANTHONY


LA Lakers timu kubwa sana na mashuhuri duniani sasa inamtaka Carmelo Anthony ambae anaichezea New York Nicks kwa sasa...Carmelo mwenyewe hajaamua timu gani anataka kwend kuichezea lakini kati ya timu zinaotajwa sana ni Lakers...Lakers hawajafnya vizuri msimu uliopita kutokana na kuumia kwa supa staa wao Kobe Bryant...Lakini Bryant anajiweka sawa kwa kurudi msimu ujao...Kuna tetesi Knicks bado wanamtaka Anthony na wako tayari kutoa dola za kimarekani milioni 129 kwa miaka 5...Lakini inasemekana rais wa timu amesema hatatoa pesa yote hiyo...Tusubiri tuone mwelekeo wa transfers hizi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment