Monday 7 July 2014

WIMBLEDON: DJOKOVIC BINGWA



Novak Djokovic amenykuwa ubingwa wa Wimbledon baada ya kumchapa Roger Federer katika game ambayo ilikuwa kali sana...Djokovic ameshinda kombe la pili la Wimbledon na Grand Slam ya 7 sasa...Roger alichapwa 6-7 (7-9) 6-4 7-6 (7-4) 5-7 6-4 na sasa Djokovic amerudi kileleni katika ranking za dunia...
 
Boris Becker kocha wa Djokovic

Mechi ilitumia muda wa saa 3 na dakika 56 na watu 15,000 waliokuja kutazama hiyo game walikuwa wanamshangilia Roger Ferederer lakini baada ya kupoteza set ya 4 Djokovic alipambana na kushinda...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment