Thursday 3 July 2014

F1: TONY FERNANDES AUZA TIMU YAKE YA CATERHAM


Timu ya F1 ya Caterham imeuzwa kwa wadau kutoka Uswiss na Mashariki ya Kati...Wamiliki hao wapya watashauriwa na principal wa zamani wa HRT Collin Colles...Dereva wa F1 Christjan Albers ataisimamia na kuiangli timu hiyo...



Tony Fernandes ambaye anatokea Malaysia na ni mmiliki wa Queens Park Rangers aliingia F1 miaka minne iliyopita akiwa na timu iliyoitwa Lotus Racing...Caterham haifanyi vizuri kwahiyo wanategemea umiliki na uongozi mpya utaisaidia timu iweze kufanya vizuri...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment