Tuesday 8 July 2014

BORUSSIA DORTMUND: BARCA NA MAN U WANAKIMBIZANA KUNYAKUA MATS HUMMELS


Kutokana na Manchester United kutokuwa na mabeki wa uhakika na Barca kutaka kuimarisha kikosi timu zote hizo zinamtaka beki wa kati wa Borussia Dortmund Mats Hummels...Hummels anachezea timu ya taifa ya Ujerumani pia...Mats Hummel mwenye umri wa miaka 25 ni beki makini sana na alitokea Bayern Munich academy ya vijana na akajiunga na Dortmund kwa mkopo January 2008 na badae akajiunga rasmi na Dortmund February 2009 kwa euro milioni 4...Bofya hapa usome zaidi...

No comments:

Post a Comment