Friday 11 July 2014

EPL: LIVERPOOL WAKUBALI DAU KUTOKA KWA BARCA


Liverpool imekubali kumwachia Luis Suarez kwa dau la pound za Uingereza milioni 75...Suarez anahamia timu kubwa ya Barcelona...Suarez sasa yuko kifungoni miezi 4 baada ya kupatikana na hatia ya kun'gata mchezaji...Anatarajiwa kuingia Spain wiki ijayo akaangaliwe na madaktari ili awe tayari kuichezea Barca...Suarez alitoka Ajax kwenda Liverpool 2011 kwa pound milioni 22 na bado alikuwa ana miaka 4 zaidi kwenye mkataba wake na Liverpool...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment