Thursday 10 July 2014

WORLD CUP 2014: ARGENTINA YAINGIA FAINALI


Argentina jana usiku ilifanikiwa kuingia fainali ya kombe la dunia kwa kuitoa Netherlands kwenye matuta...Timu zote zilishindwa kufungana muda wote wa kucheza...Argentina inaingia fainali tangu 1990...Sergio Romero kipa wa Argentina ndio aliyekuwa kinara kwani alipangua shuti kutoka kwa Ron Vlaar na Wesley Sneijder ...Penalty ya mwisho ilipigwa na Maxi Rodriguez...Sasa Argentina itakutana na Germany katika uwanja wa Maracana jumapili...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment