Wednesday 2 July 2014

OFC: OYSTER BAY FOOTBALL CLUB ENZI ZILEEEEEEE!

OFC imeziduliwa rasmi tarehe 2 August 1987

Kwa wadau waliokulia Oyster bay na maeneo ya Msasani, Drive-In, Ada Estate, Regent Estate, Block 41, Kinondoni, Upanga miaka ya 80 na 90 mtakuwa mnaikumbuka timu ya OFC  au Oyster Bay Football Club...

Kabla ya tizi
Sasa hapa kama una kumbukumbu utakumbuka baadhi ya sura hapo chini...
Baada ya tizi
OFC ilianzishwa 1987 mwezi wa 8 na mpaka leo wale wadau waanzilishi wanapiga tizi pale pale shule ya msingi ya Obay...

OFC ikiwa taayaki kwa game
 Uwanja ule ule ambao baba yake Gotta Irie alisaidia usawazishwe vizuri watoto wacheze mpira...

OFC ilikuwa balaa enzi zake...
Michezo muhimu sana kwenye shule zetu hizi...Haya hebu tuwakumbuke wadau wa OFC...

OFC baada ya miaka 20...Vitambi zimechomoza...
List ya wadau wa OFC ni kama ifutavyo:
1. James Barongo "Super"
2. Dereck Kristos
3. Hassan Simbakalila "Nyoa"
4. Emmanuel Toroka "Baby Owen"
5. Robert Kasambala
6. George Mwingira "Totoo Mbondenga"
7. Daniel Laizer "AB Kuka"
8. Francis Twalipo "Tata"
9. Mathew Mundeba
10. Rexona Morris
11. Mpoki Mwambenja "Bonga Bonga"
12. Ippiana Malecela "Manager"
13. Gerald Lema
14. Tom Apson
15. Kassim Mwandoro
16. Abel Siwale
17. Iddi Janguo 
18. Ghalib Mbonde
19. Gotta Irie na wadau wengine wengi...

Pia Wazee waasisi wa timu
1. Mr. Uledi H. Faraji
2. Mzee Rashid " Major Blue"
3. Mama Asha Faraji
4. Mzee na Mama Warioba
5. Mama Chilambo
6. Marehemu George Mazula na wazee wengine wengi

Waliotutangulia mbele ya haki tunaendelea kuwaombea dua...Picha zimetolewa kwa hisani ya mdau mkongwe wa OFC Kassim Mwandoro...

No comments:

Post a Comment