Katika mashindano ambayo yametawaliwa na wanaume kama Formula 1 sasa yanaanza kubadilika kama Susie Wolff anavyo tarajia kubadilisha sura ya F1...Susie ataendesha kwenye mshindano ya F1 yanayokuja weekend hii huko kwenye track ya Silverstone Uingereza...Susie ambae alianza kuendesha magari madogo ya go-kart anasema amejitahidi sana kwa kufnya kazi kwa bidii na imemsaidia kufika hapo alipofika...Susie ni development driver wa timu ya Williams Martini...Susie ataendesha gari siku hiyo Silverstone inatimiza miaka 50 mwanzo ili aweze kutest na kuyaweka sawa gari la timu yake ya Williams...Bofya hapa upate habari zaidi...
Wednesday, 2 July 2014
F1: SUSSIE WOLFF KUWA MWANAMKE WA KWANZA TOKA 1922 KUENDESHA F1
Katika mashindano ambayo yametawaliwa na wanaume kama Formula 1 sasa yanaanza kubadilika kama Susie Wolff anavyo tarajia kubadilisha sura ya F1...Susie ataendesha kwenye mshindano ya F1 yanayokuja weekend hii huko kwenye track ya Silverstone Uingereza...Susie ambae alianza kuendesha magari madogo ya go-kart anasema amejitahidi sana kwa kufnya kazi kwa bidii na imemsaidia kufika hapo alipofika...Susie ni development driver wa timu ya Williams Martini...Susie ataendesha gari siku hiyo Silverstone inatimiza miaka 50 mwanzo ili aweze kutest na kuyaweka sawa gari la timu yake ya Williams...Bofya hapa upate habari zaidi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment