Sunday 6 July 2014

WORLD CUP 2014: SUPER SUB TIM KRUL AIPELEKA NETHERLANDS NUSU FAINALI


Kipa wa ziada Tim Krul ndio aliyeiokoa timu yake baada ya kuingizwa kipindi cha penalties na kuokoa mashuti mawili...


Sijui ilikuwa kuwachanganya Costa Rica au alikuwa anahitajika sana maana ngoma ilikuwa nzito...Cost Rica walijitahidi sana lakini kunawakati walikuwa wanaishiwa nguvu...


Sneijder pia aliwakosakosa Cost Rica baada ya kugonga mwamba mara 2...Netherlands sasa watakutana na Argentina kwenye nusu fainali...Bofya hapa upate habari zaidi.



No comments:

Post a Comment