Friday 4 July 2014

SIMBA SC: AVEVA ACHAGUA AKAMATI MBALIMBALI


Rais mpya wa Simba SC aliyechaguliwa kwa kura nyingi Evans Aveva amechagua kamati mbalimbali za club hiyo ya Msimbazi...Zacharia Hans Poppe ataendesha kamati ya Usajili akisaidiwa na Kassim Dewji...Wengine kwenye hiyo kamati ni Said Tully, Musley Al Ruwaidh, Crescentius Magori na Dr. Rodney Chiduo...Kamati nyingine ni ya Vijana amabyo itaongozwa na Said Tully akisaidiwa na Malamu Ngambi, Amina Poyo, Patrick Rweyemamu, mchezaji wa zamani Madaraka Suleiman na Ally Suru...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment