Friday 11 July 2014

BOXING: FLOYD MAYWEATHER ACHAGUA MGM GRAND KWA PAMBANO LA MARUDIANO NA MARCOS MAIDANA


Floyd Mayweather ameamua kuzichapa tena na Marcos Maidana September 13 huko Las Vegas MGM Grand...Kuna tetesi angepigana Barclays Center huko Brooklyn New York baada ya kampuni yake ya Mayweather Promotions kuomba kibali cha kupigania New York na kupewa lakini Floyd amesema atazichapa na Maidana nyumbani Las Vegas...Floyd sasa ni mara ya 10 mfululizo anazichapa kwenye ukumbi wa MGM Grand...Floyd alishinda pambano lake na Maidana May 3 kwa shida sasa watazichapa tena September 13...Usikose kuangalia....

No comments:

Post a Comment