Monday 14 July 2014

WORLD CUP 2014: UJERUMANI MABINGWA


Ujerumani jana ilinyakua ubingwa wa dunia baada ya kuichapa Argentina 1-0 dakika za nyongeza...Bao kali lilifungwa na Mario Goetze...Hii ni mara ya 4 sasa Ujerumani wanachukua kombe la dunia na pia ni mara ya kwanza kwenye historia ya World Cup timu ya Ulaya kushinda kombe hilo kwenye ardhi ya South America...Mara ya mwisho Germany ilinyakua kombe la dunia mwaaka 1990 huko Rome Italy baada ya kuwachapa Argentina ya Maradona 1-0...


Timu zote zilicheza vizuri lakini mpira haukuwa wa kasi kama wengi tulivyotegemea lakini mpira ulikuwa wa kupimana nguvu...Defense ya timu zote mbili ilikuwa ya hali ya juu sana na pia makipa walikuwa makini sana...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment