Sunday 6 July 2014

WORLD CU 2014: PICHA YA UTI WA MGONGO WA NAYMAR


Neymar Jr hali wake sio nzuri baada ya kuumia uwanjani kutokana na kuchezewa raafu mbaya...Naeymar Jr atakosa World Cup na itmchukua muda kupona vizuri...Hapo juu ni picha ya ya X-ray ya mfupa wa uti wa mgongo ambao ulivunjika siku hiyo...


No comments:

Post a Comment