Saturday 12 July 2014

EPL: DOGO QUINTERO AINGIA CHELSEA KUTOKA BARCA

Josi akimtoka mtu...
Josi Quintro anaingia The Bridge...Dogo huyu mwenye umri wa miaka 17 anayetokea Ecuador anacheza kama winga amefurahi sana kuingia timu kubwa na atachuku muda mpaka aive lakini ni kifaa safi...

Neymar akiwa na dogo Josi

Dogo alitweet picha yake akipiga saini mkataba wake mpya...Bofya hapa usome zaidi...

No comments:

Post a Comment