![]() |
| Ferrri ya Kimi ikipat ajali |
Kimi Raikkonen alipata ajali mbaya sana katika mashindano ya F1 katika uwanja wa Silverstone huko Uingereza...Aligonga kingo akiwa na spidi kali sana ya 150 miles kwa saa...
![]() |
| Massa nae aligongwa vibaya |
Hiyo ajali pia ilimkuta Fillipe Massa kwa kuwa hakuona ajali ikitokea na akajikut anagongwa na gari kuzungushwa...Hali ya madereva wote inaendelea vizuri...Lewis Hamilton alishinda hayo mashindano ya Silverstone.


No comments:
Post a Comment