Tuesday 1 July 2014

GOLF: WANAWAKE WAWILI KUTOKA TANZANIA WATAMBULIWA DUNIANI

 
Angel Eaton

World Amature Golf Ranking (WAGR) imewatambua Angel Eaton na Madina Iddi...Hili ni jambo kubwa na lakujivunia hawa kutoka Tanzania wanatambulika duniani kwa umahiri wao katika mchezo wa Golf...WAGR imewakubali haa kutokana na kufanya vizuri katika michuano huko Muthaiga Golf Club Nairobi Kenya ya All Africa Challenge Trophy (AACT)...AACT ilijumuisha nchi 17 na kwa mara ya kwanza WAGR waliikubali AACT...
 
Madina Iddi

Sasa Angel na Madina wanatambulika na Club  kubwa na ya zamani ya Golf duniani Royal and Ancient Golf Club of St. Andrews...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment