Thursday 3 July 2014

EPL: ROY KEANE AFURAHIA UTEUZI WAKE ASTON VILLA


Roy Keane amefurahi kujiunga na Aston Villa kama kocha msaidizi.


Roy atakuwa anamsaidia kocha mwenye uzoefu wa hali ya juu Martin O'Neill.

Keane amefurahi kupata kazi kwani toka January 2011 hakuwa na kazi ya kila siku baada ya kufukuzwa Portman Road.

Keane anachukua nafasi ya Ian Culverhouse.

Ian aliachishwa kazi kutokana na uchinguzi ndani ya club...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment