Tuesday 8 July 2014

MAZOEZI MUHIMU: MHESHIMIWA MARK MWANDOSYA MBUNGE WA RUNGWE MASHARIKI AKIFNYA MAZOEZI



Mazoezi muhimu sana kwa mwili wa binadmu...Mazoezi husaidia kupinguza na kuondoa magonjwa mengi...Husaidia kupunguza uzito...



Mazoezi husaidia akili kuwa katika hali ya kufukiria vizuri...Husaidia mwili kupata nguvu...Pia husaidia kama usingizi ni wa taabu...Mheshimiwa Mark Mwandosya mdau mkubwa wa Max Sports anapenda sana mazoezi na yamemsaidia sana kuimarisha afya yake...



Popote anapoenda duniani huwa anafanya mazoezi asubuhi na jioni...Hapa akiwa anapiga tizi asubuhi KBR Park Hayderabad, India...

No comments:

Post a Comment