Friday 11 July 2014

EPL: ARSENAL FC YAMNYAKUA ALEXIS SANCHEZ KUTOKA BARCA


Alexis Sanchez ameingia ndani ya Emirates Stadium kwa mkataba wa muda mrefu...Arsenal hawajataja dau lake lakini inasemekana ni pound za Uingereza milioni 35...Dogo Sanchez ni mchezaji mkali sana katika nafasi ya forward...

Timu ya Liverpool na Juve na nyingine zilikuwa zinamtaka huyu dogo lakini alipenda kuichezea timu kubwa ya Arsenal mjini London...Arsene Wenger amesema dogo ataongeza nguvu na umakini kwenye squad yake...Arsenal pi awako mbioni kumchukua beki wa kulia kutoka Newcastle Mathieu Debuchy...Bofya hapa usome zaidi.

No comments:

Post a Comment