Wednesday 1 October 2014

CHAMPIONS LEAGUE: ROMA YAGAWANA POINTS NA MAN CITY WAKATI TOTTI AWEKA REKODI


Manchester City jana usiku  ilishindwa kutamba nyumbani mbele ya AC Roma baada ya kutoka sare bao 1-1...Kazi ya kwenda kwenye mtoano itakuwa ngumu sana kwani Roma wameonyesha uwezo wa kusonga mbele kutokana na kuwa na mid-field solid na pia baada ya Bayern Munich kushinda mechi zake 2...


Sergio Aguero ndio aliyeanza kufunga baada ya kupachika penalty mwanzoni lakini siku ilikuwa ya veteran Francesco Totti ambae alisawazisha bao vuri la akili dakika ya 23 na kuweka historia ya mchezaji mwenye umri mkubwa kufunga goli kwenye Champions League...Totti anamiaka 38 na siku 4 na amechukua historia hiyo kutoka kwa star wa zamani wa Manchester United Ryan Giggs ambae alifunga bao akiwa na miaka 37 na siku 289...Bofya hapa upaate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment