Monday 20 October 2014

TISSOT AUSTRALIAN GRAND PRIX: VALENTINO ROSSI AMENYAKUA TAJI


Valentino Rossi bingwa wa dunia wa MotoGP mara 7 katika mashindano ya pikipiki za mwendo wa kasi ameshinda 2014 Tissot Australian GP...Rossi ameanza mashindano haya kwa mara ya 250 toka aanze kushindana mashindano haya na hii ni mara ya 2 mwaka huu kuchukua kombe...


Rossi alianza wa 8 lakini alijitahidi na kuwafikia mabingwa wengine Lorenzo na mwendesha Honda Marc Marquez...Lakini Marquez na mwenzake kuanguka ikawa bahati kwa Rossi...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment