Wednesday 1 October 2014

NBA: KOBE BRYANT YUKO FIT KUCHEZA MSIMU WA 19 NA LAKERS


Kobe Bryant mkali wa kikapu anayechezea LA Lakers sasa yuko fit kucheza tena baada ya kuwa nje kwa muda mrefu sana...Kobe alikuwa majeruhi na alifanyiwa upasuaji kwenye mguu na kuwa nje muda mrefu kwa mara ya kwanza toka aanze kuichezea Lakers...Kocha mpya wa Lakers Byron Scott ameshangaa Kobe kufanya mazoezi vizuri akiwa kambini na hakutegemea kama angeweza kukimbia na kuruka kama alivyomuona...Kobe amesema yuko tayari kucheza na timu yake ambayo ina sura mpya na ataajitahidi kuto sukuma sana kutokana na hali halisi ya mwili wake...Kocha amesema ataweza kucheza mechi 82 akiwa na wastani wa magoli 24 au zaidi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment