Tuesday 7 October 2014

TFF: MASHINDANO YA U-12 YAANZAISHWA TANZANIA


Kwa mara ya kwanza Shirikisho la Soka Tanzania TFF linaanzisha mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 12...Michuani hiyo ya kihistoria itaanza Decemba 6 mpaka Decemba 12 mwaka huu huko jijini Mwanza...Chini ya programu ya maendeleo ya vijana katika soka hirya shirikisho ni muhimu sana mashindano kama haya kuwepo kwani itatusaidia yafikapo mashindano ya U-17 mwaka 2019 ambapo pia tuketuma maombi ya chezewe hapa nchini...Bofya hapa up habari zaidi.

No comments:

Post a Comment