Tuesday 21 October 2014

EPL: MAN UNITED SASA MECHI 6 ZA NJE BILA USHINDI


Manchester United jana ilikuwa wachapwe lakini bao la Daley Blind liliwanusuru...Mechi iliisha 2-2 na kwa mujibu wa takwimu Manchester United haijashinda mechi zake 6 za nje na hii sio dlili nzuri kwa meneja Van Gaal...Mwanzoni kabisa kwenye dakika ya 8 Sessegnon aliipatia West Brom bao ambalo lilikuja kusawazishwa na substitute Fellaini dakika ya 48...Dakika ya 66 dogo machachari kabisa aliyezaliwa hapa jirani kabisa Burundi Saido Berahino aliiweka West Brom mbele mkapa Blind aliposawazisha dakika ya 87...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment