Tuesday 14 October 2014

MECHI YA KIRAFIKI: BRAZIL YAIBUGIZA JAPAN 4-0 YOTE KUTOKA KWA NEYMAR


Neymar Jr amewika tena baada ya kuichapa Japan mabao 4...Dogo alitumia miguu yote na kichwa kuwalaza wajapan...Shots on goal zilikuwa hizo 4 tu na zote zilitingisha nyavu...Goli ka 4 liliuwa goli lake la 40 kati ya mechi 58...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment