Friday 10 October 2014

EUROPEAN CHAMPIONSHIP QUALIFYING: SPAIN YALAZWA NA SLOVAKIA


Toka  mwaka 2006 Spain haijawahi kufungwa kwenye qualifying match...Mechi hiyo ya 2006 walichapwa 2-0 na Sweden kwenye Euro 2008 qualifying...Slovakia dakika ya 17 kupitia Juraj Kucka aliandika bao la kwanza ubaoni...Kipa wa Spain Iker Casillas hakuweza kupima vizuri shot la Kucka la yadi 30...Spain walisawazisha kipindi cha 2 dakika ya 82 kuitia kwa substitute Paco Acacer akiye piga mpira wa chini chini kutoka yadi 8...Miroslav Stoch aliwapa ushindi Slovakia kwenye dakika ya 87 kwa kichwa cha karibu akipokea mira kutoka cross ya Michal Duris...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment