Friday 31 October 2014

VPL: AZAM WATINGA MTWARA KUIKABILI NDANDA FC


Azam FC wako tayari kuikabili Ndanda FC kesho kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona...Kikosi cha Azam kitakuwa pungufu kutokana na wachezaji 2 kuwa majeruhi na mmoja alipata matatizo ya kifamilia na hajarudi kutoka Ivory Coast...Meneja wa Azam Jemadari Said Kazumari amesema kikosi ni kikubwa kwahiyo wako fit na baada ya game na Ndanda FC watacheza mechi ya kirafiki na Kariakoo FC mjini Lindi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment