Friday 3 October 2014

EUROPA LEAGUE: BA AIKATALIA TOTTENHAM USHINDI


Tottenham ilikuwa waibuke na ushindi nyumbani lakini aliyekuwa mchezaji wa Chelsea Senegalese international Demba Ba aliwanyima ushindi baada ya kupachika bao la penalty dakika ya 89...Tottenham walianza kufunga bao mapema kupitia kwa Harry Kane dakika ya 27 baada ya kuchepuka na kipiga mpira wa chini pembeni na kujipatia bao lake la 2 kwa timu yake...Game kwa ujumla ilikuwa ya Besiktas ambao ni namba 2 kwenye ligi yao ya nyumbani huko Uturuki kwani waliwakimbiza sana Tottenham na walikuwa na24 shots on goal na Tottenham wameshukuru sana wameweza kutoka sare ya 1-1 na Besiktas...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment