Friday 10 October 2014

EPL: ROY KEANE AMCHANA SIR ALEX FURGERSON


Roy Kean aliyekuwa Captain wa Manchester United mika ya nyuma na mchezaji mwenye moyo yakusaidia na kuchangamsha wachezaji wenzake amemchana Sir Alex kuwa amekosea kuwa kosoa wachezaji wa zamani wa Manchester United...Kean amesema akikutana na Sir Alex atamchana vile vile...Sir Alex amewakosoa wachezaji hao wa zamani kwenye kitabu chake na kusema Kean ambae amekaa Old Trafford miaka 12 (1993-2005) alikuwa mshawishi mbaya kwa wachezji wengine na alikuwa na ulimi mbaya yaani akiongea anakuwa mkatiki sana...Kean amemmind Sir Alex na anasubiri wakutane uso kwa uso amchane live...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment