Wednesday 29 October 2014

NBA: ROOKIE WA LAKERS JULIUS RANDLE AVUNJA MGUU


Dogo Julius Randle rookie kutoka chuo kikuu cha Kentucky na ni draft pick wa kwanza wa Lakers ameanza vibaya baada ya kuvunja mguu siku yake ya kwanza kuichezea LA Lakers...Randle alipata mkasa huo katikati ya kipindi cha 4 na kuacha mashabiki wakibaki kimya huku madaktari wakimhangaikia...



Madaktari walisema alivunja tibia...Kobe Bryant alibaki akitingisha kichwa na kusikitika...Lakers walipoteza hiyo game dhidi ya Huston Rockets 108-90...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment