Tuesday 7 October 2014

SWIMMING: MICHAEL PHELPS ASIMAMISHWA


Bingwa wa Olympics wa swimming Michael Phelps amesimamishwa ka muda wa miezi 6 kutokana na utovu wa nidhamu...Phelps alikamatwa anaendesha gari kwa kasi sana wakati amelewa na kutokana na vigezo vilivyo wekwa na chama cha swimming Phelps itabidi awe benchi kwa muda huo wa miezi 6...Phelps hato pewa pesa yake kwa muda huo wa miezi 6 na hatachaguliwa kuiwakilisha nchi yake mwezi wa 8 mwakani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment